Zitto Kabwe akizungumza kuchangia ripoti za kamati mbalimbali za kamati za kudumu za bunge
mwanakijijiMh. Zitto tarehe 25 huko Mwanzugi Igunga aliwafungua macho wakazi wa Igunga na Mikoa ya jirani kuwa Mradi wa ziwa Victoria ulitumia Kodi za ndani kwa manufaa ya Wawekezaji wa Migodini na si kwa ajili ya Watanzania, Pia alishangaa jinsi ambavyo Wananchi wa Tanzania wanakosa Maji na Huduma za afya ...
chadematvThe incumbent MP for Kigoma North, and the youngest elected MP in the 2005/10 parliament, Mr Zitto Kabwe talks about his experiences as a young lawmaker and his political choices in the 2010 election in this interview with Daily News reporter Jiang Alipo.
dailynewsonlineHii ni sehemu ya kwanza kati ya nne za mfululizo wa mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe. Katika sehemu hii, anazungumzia hali ya kisiasa ndani ya CHADEMA na TANZANIA. Hofu yake juu ya ukuaji wa chama chake. Matatizo yanayoukumba uchumi wa nchi. Je! Anahofia kuwa yale yaliyotokea kwenye nchi za Arabuni ...
Hii ni sehemu ya pili kati ya nne za mfululizo wa mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe. Katika sehemu hii, anazungumzia kuhusu NIA YAKE YA KUWA RAIS, Msimamo wa Chama na wake kuhusu Muungano, suala la CHADEMA kuondoa kinga ya kikatiba kwa Rais, anaeleza kwanini anaamini ni vema uchaguzi wa Rais na Wabun...
Hii ni sehemu ya tatu kati ya nne za mfululizo wa mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe. Katika sehemu hii, anazungumzia mashirika ya umma nchini Tanzania. Je! Yapo kwa faida ya wananchi? Kama Mwenyekiti wa Tume ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma anazungumzia vipi tatizo la TANESCO? Ni nini kilisababisha T...
Kigoma North MP Kabwe Zitto flew to India to undergo a thorough medical treatment after undergoing treatment at Aga Khan Hospital and Muhimbili National Hospital. The opposition MP was diagnosed with 150 malaria parasites. The MP was also suffering from headache.
Kigoma North MP Kabwe Zitto who flew to India to undergo a thorough medical treatment after undergoing treatment at Aga Khan Hospital and Muhimbili National Hospital, said that he is doing well with the treatment in india.
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma amezungumza na ITV kuzungumzia masuala mbalimbali muhimu hasa masuala ya nishati na hoja ya kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu.
mwanakijijiMkutano wa Nyamhoza Kijiji cha Nyamhoza, Kata ya Mkongoro, Jimbo la Kigoma Kaskazini Tarehe: 17-10-2010
zittokabweMlimaniTV: Kipindi-KEKI YA TAIFA( Mhe.Zitto Kabwe)
zittokabweHii ni sehemu ya nne na ya mwisho katika mfululizo wa mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe. Katika sehemu hii, anaeleza kwanini anaamini kuwa TANZANIA NI NCHI TAJIRI SANA? 1: Anauonaje MUSTAKABALI WA TANZANIA hasa katika nyanja ya mafuta na gesi? Je! Tanzania ina gesi kiasi gani? Ni mikataba gani iliyos...
Mhe. Zitto Kabwe (MB) akijadili iwapo Kilimo ndio uti wa mgongo wa wa uchumi wa Tanzania
Mshindi ni Zitto! Namtangaza rasmi Zitto Kabwe Zuberi mbunge wa Kigoma Kaskazini "Ni Zitto Tu" Tarehe:01-11-2010
zittokabweNaibu Katibu Mkuu wa Chadema Mh Zitto Kabwe ameitaka Serikali kufufua viwanda na kujenga vingine ili kuendana na Ongezeko la watu nchini. Zitto amesema viongozi hawapiganii kufufua Viwanda kwa sababu wananufaika na kukosekana kwa bidhaa za Viwandani kwa mfano Sukari
Ni manufaa gani yatapatikana kwa Tanzania kujiunga na Mpango wa kuendesha shughuli za Serikali kwa Uwazi (OGP)? Wabunge Zitto Kabwe na January Makamba ni sehemu ya wachangiaji wa maoni hayo.
twaweza

